Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili swali sijui tu kwanini limenichekesha walah!!
Na bado.
hamna,nimeona heaven ni mjuzi wa haya mambo nikaamua niulize,
 
Kwahiyo katika yote hayo aliyoandika umeona hilo ndo swali la kumuuliza? Hayo maandiko hayamaanishi kwamba ndo umtese mkeo unavyojisikia huku ukitegemea uvumilivu wake tu
nimeuliza tu maana heaven ni mjuzi wa maandiko,kwani kuna shida nikiimuuliza??? au ulitaka nimfuate PM
 
Kocha mchezaji katika ubora wake! Nilikuita makusudi ili #TeamPasuaKichwa itimie
Relief Mirzska
 
Hoyeeeeeee!!
Hakika tunastahili sifa, ni wanaume wanaojielewa pekee wanaoweza kutuelewa. Inahitaji jicho la rohoni and bad enough wengi hawana.
Haleluyaaaa!
Hahahhaa wanawake wa Mithali 31 oyeeeee
Pasua kichwa
 
I want to call all those who said JF imejaa wanawake wajinga ili waje waone hii. Kwenye ile list yangu ya wanawake kumi makini humu jukwaani amini kwamba na wewe umo.

Congrats boss
Wewe ni mgeni humu.....huyo ndio kocha mchezaji! M-Beijing number 1
 
Kwa upande wangu zaidi ya kuambiwa "siwezi kuoa mwanamke maskini" sijawahi ambiwa neno zuri la faraja


Ila mungu yupo wallah naomba mungu amuweke yule kijana ashuhudie maajabu yake uuuwiiii
Kosa la jamaa ni kuwa muwazi au hukuwa mwanamke maskini?
 
Muone vileeeee mfyuuuuuuuuuu..... Tatizo ni nyinyi wenyewe mtu unajitoa kwa moyo wote..... Unakubaliana na hali zote ukiwa unajua huyu ni mwanaume /mume wangu... Mnakuja kulipa malipo ya hovyohovyo
Kujitoa hata kupiga monkey style in bed sio guarantee ya kuolewa....hujui mtu kichwani anawaza nini...mengine muachie Mungu tu
 
nimeuliza tu maana heaven ni mjuzi wa maandiko,kwani kuna shida nikiimuuliza??? au ulitaka nimfuate PM
Hilo swali haujauliza kwa kutaka kujua bali umeuliza kwa kutaka kubisha maana siyo mara ya kwanza kuliuliza na hata mimi nakumbuka ulishawahi kuniuliza tukiwa tunabishana kwenye mada moja hivi
 
Aaah kila mtu atavuna alichopanda. Ipo wazi iyo
Hoyeeeeeee!!
Hakika tunastahili sifa, ni wanaume wanaojielewa pekee wanaoweza kutuelewa. Inahitaji jicho la rohoni and bad enough wengi hawana.
Haleluyaaaa!
Kama huna jicho la rohoni; huwezi kutuona hahahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…