Mtu wangu wa karibu hana hisia, yaani hana vichocheo vya kufanya mapenzi. Anawezaje kuondokana na tatizo hili?

Mtu wangu wa karibu hana hisia, yaani hana vichocheo vya kufanya mapenzi. Anawezaje kuondokana na tatizo hili?

Magomb

New Member
Joined
Feb 15, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Mtu wangu wa karibu hana hisia means hana vichocheo vya kufanya mapenzi.

Tunawezaje kumsaidia mtu huyu kwa matibabu?
 
Mtu wangu wa karibu hana hisia means hana vichocheo vya kufanya mapenzi.

Tunawezaje kumsaidia mtu huyu kwa matibabu?
Habari,
Hili ni suala ambalo linaweza kusababishwa na:
1: Sababu ya kuzaliwa ndani yake.

2: Sababu aliyopata baada ya kuzaliwa ndani yake.

3: Sababu ya maisha/mwenendo wa maisha/nje ya mwili wake.

4: Vyote hapo juu.

Unaweza kuona hapq ni mazungumzo ya maisha ya mtu binafsi kwa kina. Hivyo, ni vyema kupata mataalmu wa afya ili historia yake ichukuliwe vyema na makuzi yake yalivyokuwa, tatizo lina muda gani na nini hasa kinachomtokea, yeye binafsi anayachukuliaje mahusiano husika/tajwa na maisha yake kwa ujumla/utafutaji na upataji.
 
Back
Top Bottom