Habari,
Hili ni suala ambalo linaweza kusababishwa na:
1: Sababu ya kuzaliwa ndani yake.
2: Sababu aliyopata baada ya kuzaliwa ndani yake.
3: Sababu ya maisha/mwenendo wa maisha/nje ya mwili wake.
4: Vyote hapo juu.
Unaweza kuona hapq ni mazungumzo ya maisha ya mtu binafsi kwa kina. Hivyo, ni vyema kupata mataalmu wa afya ili historia yake ichukuliwe vyema na makuzi yake yalivyokuwa, tatizo lina muda gani na nini hasa kinachomtokea, yeye binafsi anayachukuliaje mahusiano husika/tajwa na maisha yake kwa ujumla/utafutaji na upataji.