Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Bora hao bado wanajitambulisha kuwa ni Wananchama wa CCM. Lakini wale wanaohama ni watu hatari zaidiIssue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura Watanzania bila hofu yoyote.
Amkeni wajinga (wajinga sio tusi) Polepole anawachezea kawaona hamjitambui.
Gwajima baada ya kufa Msukuma mwenzake Magufuli anaona kuwa ndoto yake ya kupewa kijiti cha Urais imekufa. Gwajima hakuwa na shida na Ubunge. He dreamt to be a president.
Sasa hajui aanzie wapi.
Angependa haki asingekubali 2020 October kufanyika kwa ballot boxes exchange kwenye Jimbo lake.
Kwenye masomo ya usalama wapelelezi hufundishwa kuwa wasidharau taarifa za matahira, ni accurate kwa % nyingi sana lakini haiondoi maana kuwa si matahira.
Maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hata kama Gwajima na polepole wanazungumza ukweli lakini WANANCHI watambue kuwa hawako upande wao.
Gwajima na Polepole hawako upande wa wananchi. Wao wako upande wa wala keki ya Tanzania, wala tozo za wananchi ila wana migogoro na wala keki kwasababu zao. Wananchi ni kama daraja tu.
Kwani wewe unapigania tumbo la nani?Issue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura Watanzania bila hofu yoyote.
Amkeni wajinga (wajinga sio tusi) Polepole anawachezea kawaona hamjitambui.
Gwajima baada ya kufa Msukuma mwenzake Magufuli anaona kuwa ndoto yake ya kupewa kijiti cha Urais imekufa. Gwajima hakuwa na shida na Ubunge. He dreamt to be a president.
Sasa hajui aanzie wapi.
Angependa haki asingekubali 2020 October kufanyika kwa ballot boxes exchange kwenye Jimbo lake.
Kwenye masomo ya usalama wapelelezi hufundishwa kuwa wasidharau taarifa za matahira, ni accurate kwa % nyingi sana lakini haiondoi maana kuwa si matahira.
Maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hata kama Gwajima na Polepole wanazungumza ukweli lakini WANANCHI watambue kuwa hawako upande wao.
Gwajima na Polepole hawako upande wa wananchi. Wao wako upande wa wala keki ya Tanzania, wala tozo za wananchi ila wana migogoro na wala keki kwasababu zao. Wananchi ni kama daraja tu.
Mimi nawapigania nyie wananchiKwani wewe unapigania tumbo la nani?
Tulikutuma lini utupiganie? 🤣🤣Mimi nawapigania nyie wananchi
Siyo kweli. Wamo watu wakweli na waaminifu, lakini wanamezwa na kuharibiwa na limfumo la kitapeliIssue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura Watanzania bila hofu yoyote.
Amkeni wajinga (wajinga sio tusi) Polepole anawachezea kawaona hamjitambui.
Gwajima baada ya kufa Msukuma mwenzake Magufuli anaona kuwa ndoto yake ya kupewa kijiti cha Urais imekufa. Gwajima hakuwa na shida na Ubunge. He dreamt to be a president.
Sasa hajui aanzie wapi.
Angependa haki asingekubali 2020 October kufanyika kwa ballot boxes exchange kwenye Jimbo lake.
Kwenye masomo ya usalama wapelelezi hufundishwa kuwa wasidharau taarifa za matahira, ni accurate kwa % nyingi sana lakini haiondoi maana kuwa si matahira.
Maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hata kama Gwajima na Polepole wanazungumza ukweli lakini WANANCHI watambue kuwa hawako upande wao.
Gwajima na Polepole hawako upande wa wananchi. Wao wako upande wa wala keki ya Tanzania na wala tozo za wananchi ila wana migogoro na wala keki wenzao kwasababu zao. Wananchi ni kama daraja tu.
Hoja zao ziko wazi zijibiwe.Issue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura Watanzania bila hofu yoyote.
Amkeni wajinga (wajinga sio tusi) Polepole anawachezea kawaona hamjitambui.
Gwajima baada ya kufa Msukuma mwenzake Magufuli anaona kuwa ndoto yake ya kupewa kijiti cha Urais imekufa. Gwajima hakuwa na shida na Ubunge. He dreamt to be a president.
Sasa hajui aanzie wapi.
Angependa haki asingekubali 2020 October kufanyika kwa ballot boxes exchange kwenye Jimbo lake.
Kwenye masomo ya usalama wapelelezi hufundishwa kuwa wasidharau taarifa za matahira, ni accurate kwa % nyingi sana lakini haiondoi maana kuwa si matahira.
Maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hata kama Gwajima na Polepole wanazungumza ukweli lakini WANANCHI watambue kuwa hawako upande wao.
Gwajima na Polepole hawako upande wa wananchi. Wao wako upande wa wala keki ya Tanzania na wala tozo za wananchi ila wana migogoro na wala keki wenzao kwasababu zao. Wananchi ni kama daraja tu.
Wanaweza kutekwa na kuuliwaWa ndani ndio unapaswa kumuamini zaidi tena pindi pale anapokishambulia chama chake akiwa mafichoni.... Gwajima na Polepole wangejuwa wanaleta zengwe wasingekuwa wanajificha huko mafichoni.... na wala Polepole asingewapiga za huso
Ukiwa msema mkweli mfumo unakutemaWewe Unapigania Nini Huko Ccm ?
Polepole Anapata Faida Gani Binafsi Anapoongea Siri Za Ccm?
Ameuacha Ubalozi Wenu(alimwaga Ugali ) Na Anaendelea Kumwaga Mboga,hana Shida Kama Ww Kapuku.
Gwajima Ndio Usiseme,hajaanza Leo Kuwapa Makavu,hana Njaa.
Hawataki Ujinga Ndani Ya Ccm Yenu.
Umepitwa na wakati. You are completely outdatedIssue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura Watanzania bila hofu yoyote.
Amkeni wajinga (wajinga sio tusi) Polepole anawachezea kawaona hamjitambui.
Gwajima baada ya kufa Msukuma mwenzake Magufuli anaona kuwa ndoto yake ya kupewa kijiti cha Urais imekufa. Gwajima hakuwa na shida na Ubunge. He dreamt to be a president.
Sasa hajui aanzie wapi.
Angependa haki asingekubali 2020 October kufanyika kwa ballot boxes exchange kwenye Jimbo lake.
Kwenye masomo ya usalama wapelelezi hufundishwa kuwa wasidharau taarifa za matahira, ni accurate kwa % nyingi sana lakini haiondoi maana kuwa si matahira.
Maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hata kama Gwajima na Polepole wanazungumza ukweli lakini WANANCHI watambue kuwa hawako upande wao.
Gwajima na Polepole hawako upande wa wananchi. Wao wako upande wa wala keki ya Tanzania na wala tozo za wananchi ila wana migogoro na wala keki wenzao kwasababu zao. Wananchi ni kama daraja tu.
Halafu bado unadai upo pamoja na Samia Mwenyekiti wa CCM . Huo ni unafiki