Mtu yoyote anaweza kuwa mjasiriamali na akafanikiwa bila kujali elimu au Umuri

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Mtu yoyote yule anaweza kuwa Mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa na hii itawezekana tu endapo utainisha matatizo ya Jamii na kuyapatia ufumbuzi na baada ya hapo jamii itakuletea pesa kwa wewe kutatua changamoto zao na hapo utakuwa tajiri.

Kinacho takiwa ni kutafuta wapi kuna tatizo na kulitatua.

Achana na habari hizi make hazitajufikisha popote pale belive or not;
- Nimehamasishwa
- Nimevutiwa
- Nimependa sana
- Tumeambiwa
- Tumeshauriwa
- Nimeona
Nimesikia

Wewe jikite kufanya kile ambacho kwa wengine watabakia kushangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona naona contradiction hapa? Hayo uliyoyataja hapo juu ni lazima moja lifanyike ndio ufanye kitu tofauti. Wapi wanaingia kwenye ujasilimali au business kwa njia mbalimbali. Kufanya kitu unique ni lazima uwe na passion au udevelop passion na hicho kitu vinginevyo you wont go anywhere!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lazima uone contradiction haya mambo ni magumu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Passion is motive for long run & Escape from poverty /normal buznec is for short run

Stop NOT,fear NOT-Grab yo destiny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…