Mtuache

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
666
Mie ndio nitakaye ishi naye daima Na milele.

kwa hiyo maswala ya sijui hawe mzur awe na shepu...awe na mpododo...awe na mpwedede...

Hasiwe flat screen awe na chogo...

Hayo mambo ni ya kwetu siye waoaji nyie mpokeeni tu hivyo alivyo ndio nishampenda sasa..

MAWIFI MNAZINGUA......afu utakuta wenyewe hata huo mpododo wahawana ha ha ha ha
 
Hongera kwa uhakika wa kuishi daima na milele!
 
Lisemwalo lipo... majuto ni mjukuu...
 
Unajikuta umeoa mwanamke mbaya kama ulimuhulumia vile afu baada ya mda anaanza kua malaya.Hapo ndo utawaelewa ma wifi(Dada zako) walitaka uepuke Double loss.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha kuna misimu mingi mara mpododo, chura, msambwanda sasa najiulizaga vyote ni vifaa vya ujenzi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…