Mr Kiroboto
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 350
- 90
Habari wana JF
Mimi nataka kufahamu sheria inasemaje. Kuna mtuhumiwa alifikishwa polisi kwa kosa la utapeli, upelelezi haukukamilika, mtuhumiwa alitimiza masharti ya dhamana akawa nje, baada ya siku mbili akakamatwa tena kwa kosa lingine la utapeli.
Je mtuhumiwa huyu anaweza kupata dhamana nyingine au sheria inasemaje??