Dhamana ni haki ya mshtakiwa hata hivyo yapo makosa yasiyo na dhamana kama murder, money loundering, treason n.k
Hata hivyo zipo sababu zinazo weza kusababisha mtuhumiwa akanyimwa dhamana mfano kama mtuhumiwa anaweza kuharibu ushahidi, kama usalama wake uko hatiani, au anaweza kuhatarisha usalama kama ataachiwa.
Pia DPP amepewa mamlaka ya kuzuia dhamana ya mtuhumiwa kama ataeleza sababu mbele ya hakimu.