Wanasheria naomba mnijuze hili. Jana nilikuwa High Court ila jambo moja limesumbua akili yangu! Kuna mtuhumiwa alifunguliwa charge ya MURDER, aliposomewa shtaka lake mbele ya jaji akakana.
Wakili upande wa Serikali akaomba Mahakama mtuhumiwa abadilishiwe charge badala ya MURDER iwe MANSLAUGHTER na jaji akakubali. Mtuhumiwa aliposomewa akakubali.
Mwisho jaji kamnyeshea miaka 10. Je, nauliza hiyo kubadilisha charge kutoka MURDER to MANSLAUGHTER ikoje and under which provision of the law? And what the essence of the accused to plead guilty for a later offence while the former one of MURDER pleaded no guilty?
Nisaidieni ndg zangu.