S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 May 8, 2014 #1 Naomba nieleweshe vizuri kwanini yule mtuhumiwa alishika jana bendera ya taifa pale mahakamani Mwanza hakuweza kupigwa wala kufunguliwa mashtaka? Naomba msaada kIdogo kwa hilo
Naomba nieleweshe vizuri kwanini yule mtuhumiwa alishika jana bendera ya taifa pale mahakamani Mwanza hakuweza kupigwa wala kufunguliwa mashtaka? Naomba msaada kIdogo kwa hilo