Mtuhumiwa Rodrick Wilbroad Shio

jamaa alikua mtu wa accounts wa eatv..kalamba mkwanja mrefu kasepa!!
 
jamaa alikua mtu wa accounts wa eatv..kalamba mkwanja mrefu kasepa!!
aisee Mzee mengi atahakikisha kila mtu anamjua huyu jamaa..by the way huwezi kumuibia media mogul ukabaki safe....
 
aisee Mzee mengi atahakikisha kila mtu anamjua huyu jamaa..by the way huwezi kumuibia media mogul ukabaki safe....

Mengi ni owner lakini hajawahi chukua faida za "Ipp Media" toka zianzishwe ye ana ingiza pesa kwa biashara nyingine ikiwemo viwanda Najua ulikua hujui hilo!!!..swala la msingi ni kwanini aliiba? mwizi lazima ashughulikiwe
 
Nashkuru kwa taarifa sina uzoefu au ujuzi wowote kuhusu taasisi za huyu mzee lakini naona kama ni kitu ambacho hakiwezekani
 
rejea historia nyuma mauaji ya kombe yalitangazwa pia redioni kwamba mtuhumiwa hupendelea kuendesha gari aina ya nissan patrol kilichotokea ajabu tupu ,tangazo hilo lifuatiliwe kwa karibu .
 
We' Kazikubwa wewe jana ulifanya mambo gani? ................. any way sitaki kujua zaidi!
 
Huyo mshikaji kama namfahamu, jina sio geni kwa watu waliosoma Moshi mjini mwaka 2004 au 2005...
 
ahh, yaani kuwaibia hako kabilioni 3 ndo mnanitangaaaaza,,,
 
wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni noma
Mmenikumbusha mbali sana na hii kitu: Jina la kati "ku -ring a bell" na "hofu ya mwandishi kuandika hilo jina la kati in full". A fear, which inadvertently turned out to be true. Hii ndiyo JF-a heterogeneous population of benevolent and wacky misfits . Lesson. TII hisia zako.!!!
 
Mbona hilo jina la kati lina "ring a bell".

Nikifikiriaga "Shombo" za bwAna Zomba nachokaaa Kabisa....Imaginary ka Mtu flani Kanene Kafupi..kana Swing na office chair alldaylong..hana cha kupoteza. Ha ha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…