Mtuhumiwa wa kashfa ya ARV apewa tenda kuzalisha ARV tena

Hiyo ndio Bongo bwana atawawekea unga wa mahindi na mtama mpaka mshangae ,na wekeni hii kwenye rekodi zenu watakufa watu kuliko kipindi cha corona maana hawana utaalam wala hawana uwezo wa kutengeneza hizo vitu ni mwendo wa unga wa muhogo tu na mtama wanachanganya wanaweka gundi wanawapa wadanganyika, ila wao wananunua mzigo OG kutoka huku kwa mabeberu ikiwezekana wanabadilishana hata na madini, nyie nguchiro mkufweeeeee tu, maaneeeeneeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr zenu.
 
Inasikitisha sana.

Mitano TENA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…