Omar Mussa Makame leo hii ameachiwa huru mahakama kuu mjini Zanzibar baada ya kusota gerezani kwa miezi kadhaa leo hii ameachiwa huru na kuungana na familia yake na marafiki zake baada ya kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani.
kama tunakumbuka kesi hii inasemekana alitupiwa kwa utashi wa kisiasa zaidi na sio kidini kama ilivyoletwa na aliekua mkuu wa polisi zanzibar kamishna Mussa ambae kwa sasa amepoteza nafasi yake ya ukamishna na kupewa dhamana nyengine. tukio hili lilileta jazba kubwa hasa kwa waumini wa dini ya ukristo
.