Kimsingi dunia huwa haishirikiani na gaidi yoyote na dunia ni watu na maliasili zao.
Sasa endapo mtu aliyetuhumiwa kwa ugaidi na kutengwa na " dunia" akionekana hana hatia mbele ya mahakama atakuwa na haki ya kudai fidia kwa hasara aliyopata kwa sababu ya kutengwa?