mtujuze jamani!

mtujuze jamani!

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221
nimesikia mtu akisema kuwa mabasi yanayotoka mikoani kwenda dar,yameanza kupitia barabara ya bagamoyo,je ni kweli?mwenye taarifa atujulishe
 
nimesikia mtu akisema kuwa mabasi yanayotoka mikoani kwenda dar,yameanza kupitia barabara ya bagamoyo,je ni kweli?mwenye taarifa atujulishe

Kiswahili ni ngumu sana
 
mmhhh...hii habari hapa ni kwake kweli!
 
nenda jukwaa la barabara watakuwa na majibu sahihi, MMU, tuulize tukusaidie mambo ya nyumba ndogo
 
Ngoja nimcall Magufuli, jibu ntakuwekea jukwaa la hoja mchanganyiko.
 
Back
Top Bottom