Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tulisha zoea kumuona mtukufu rais akiwa anazindua miradi na viwanda live kwenye TV, sikuhizi hatuyaoni haya. Hii inamaanisha awamu ya tano tumemaliza uzinduaji.
Inawezekana tunawasubiri Arab constructions watukkabidhi bwawa letu la umeme. Lakini UNESCO wameamua kutuwekea kiwingu.
Mtukufu rais tunafarijika tukikuona hasa sisi wakulima wa korosho.