Rais ameshamaliza ku direct dhamira yake kazi imebaki kwetu sisi ukubali kufa maskini au uwekeze tufikie uchumi wa Kati..wewe kalia umbeya hapa jf Ila wenye Nia Safi wako site huko wakitengeneza miradi Zaid mingi TU kwa kuwa fursa zipo, umeme upo hakuna Tena urasimu..hapa kazi tu
Huwezi kumaliza siku bila kumkejeli Rais?Tulisha zoea kumuona mtukufu rais akiwa anazindua miradi na viwanda live kwenye TV, sikuhizi hatuyaoni haya. Hii inamaanisha awamu ya tano tumemaliza uzinduaji.
Inawezekana tunawasubiri Arab constructions watukkabidhi bwawa letu la umeme. Lakini UNESCO wameamua kutuwekea kiwingu.
Mtukufu rais tunafarijika tukikuona hasa sisi wakulima wa korosho.
Rais ni nani hasa hadi asikejeliwe?Huwezi kumaliza siku bila kumkejeli Rais?
Nenda pale getini 1 Barack Obama Avenue kaulize hili swali utapata jibu.
Sina muda wa kumjadili zero brain anayeshindwa kila anachogusa.Nenda pale getini 1 Barack Obama Avenue kaulize hili swali utapata jibu.
Si umeuliza Rais ni nani, nenda kaulize pale watakujibu.
amaeliza wewe ndo unamkejeliHuwezi kumaliza siku bila kumkejeli Rais?