jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,012 May 3, 2016 #1 Wakuu naomba kufahamishwa ni wapi katika jiji la Nairobi naweza pata mtumba classic(grade A) kwa bei ya jumla?Au kama kuna anayefanya biashara hiyo tuwasiliane kwa pm tafadhali. Shukrani sana.
Wakuu naomba kufahamishwa ni wapi katika jiji la Nairobi naweza pata mtumba classic(grade A) kwa bei ya jumla?Au kama kuna anayefanya biashara hiyo tuwasiliane kwa pm tafadhali. Shukrani sana.