MTUME KUOMBEWA badala YA KUTUOMBEA.

MNYOO JOGOO

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
195
Reaction score
94
Jamani wadau nimekuwa nikijiuliza mara zote kwa nini sisi waislamu huwa katika sala zetu tunasisitizwa kumuombea mtume kwenda peponi badala ya yeye kutuombea?
 
Mitume nao sii binadamu kama sisi,wote tunaombeana kwa MUNGU twende peponi
 
Mods, ipelekeni kwenye Dini hii ili tufunguke kisawa sawa, nikichangia hapa kama ninvyojisikia BAN sitaikosa!!!!!!
 
Aliyekuwa hayupo na chake hakipo

Mtu keshakufa atakuombeaje?

Unamuombea kama unavyowaombea waumini wengine wende peponi.
 
ukitaka kujua ujinga wa binadamu upo hapo yaan mtu achaguliwe na mungu bado ninyi mnamwomba mungu wake huyohuyo ampeleke peponi ningesikia na sisi wakristo tunamuombea paulo, petro na akina yohana nisingekuwa na dini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…