MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri.
Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa.
Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka zaidi.
Na bahati nzuri tu ni kwamba hata Wewe Mwenyewe Mtume Mwamposa jana Ibadani ulikiri na kuliweka wazi na nikaamini.
Mtume Mwamposa natambua kuwa Madaktari wako wamekuambia kuwa uanze Kupumzika kwani unachoka sana.
Na hata nje ya Kuambiwa hivyo na Madaktari wako ila hata kwa Macho tu ya Kawaida unaonekana Umechoka mno.
Sauti yako haitoki vyema kama awali, Macho yako ni kama una Usingizi na tembea yako Madhabahuni ni ya Kulazimisha.
Nimeambiwa kuwa sasa unatakiwa kupata muda mwingi wa Kupumzika na kama ni Kuhubiri basi iwe ni kwa Kiasi tu.
Mtume Mwamposa najua unakomaa japo unaumwa ili usizikose Sadaka za Watu wako ila kuwa makini na Afya yako.
Nasikia kuwa hutaki Kuonekana kama Unaumwa Watu wako watahoji kama Unaombea mbona hujiombei ili upone?
Inasemekana umeshauriwa uwe unawaachia Deiwaka ya Kiroho Wachungaji wengine Wahubiri unaogopa watapata Umaarufu.
Najua kuwa unapenda sana Kuhubiri hadi Kuomba na nakupongeza kwa hilo ila tenga muda mwingi wa Kupumzika.
Sadaka hizo wala zisikufanye uhatarishe Afya yako na yakawa mengine Kiuhai bali jali Kwanza Afya yako na zitakuja nyingi tu.
Nawashukuru Madaktari wako waliokushauri vyema hivi japo naona hujawaheshimu na bado umeendelea Kukomaa na Ibada.
Kuna Mtanzania Mwenzako Mmoja Mr. Stone Chemist Header nae alishauriwa sana na Madaktari wake Bingwa atunze Afya akabisha leo Kalala mazima.
Naona jana Jumapili ulikomaa, leo Tena umekomaa na najua Kesho pia utakomaa ila Pumzi ikikata sijui nayo utaikomalia pia au?
Bila shaka hutonichukia ila utaniombea.