Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

Mtume anaetegemea kulishwa na waumini,huyo ni mtume mchumia tumbo kma gwajima n kakobe
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hata Mtume Paulo alikua hivyohivyo alihubiri huku anaumwa na watu walikuwa wanapona ila yeye bado alikua na ugonjwa hiyo miujiza ya Mungu tu. Soma hili andiko.
2 Wakorintho 12
7 Na ili nisijione bora kuliko nilivyo, kutokana na mafunuo haya makuu, nilipewa mwiba katika mwili wangu, mtumishi wa she tani, ili anitese. 8 Nimemsihi Bwana mara tatu aniondolee mwiba huu. 9 Lakini aliniambia, β€œNeema yangu inakutosha, kwa kuwa uwezo wangu unakamilika katika udhaifu.” Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu ili uwezo wa Kristo ukae juu yangu. 10 Basi, kwa ajili ya Kristo, naridhika na udhaifu, mat usi, taabu, mateso na maafa; kwa maana ninapokuwa mdhaifu ndipo nina nguvu.
 
Halellujah
 
Japo mimi si mshirika WA mwamposa na sipo dar kbs lakin napata shida sn sn kwann thread yako inaonekana ni kama unamchukia sn mwamposa lakin pia kwann umejikita kudai Yule ndugu anachotafuta ni sadaka na umaarufu yaan as if Hana kitu kingine anachotafuta Ila cha ajabu unasema anachoka sn kisa anahubiri sana si utafutaji WA sadaka tena. Lakin cha ajabu umeonyesha wazi we si mshirika wake kbs je umejuaje kwamba ye anasaka sadaka Tu hayo nayo ulimuulza huyo mshirika wake au. Je huyo mwamposa aliwahi kukuomba sadaka?

Mmmh aisee acheni chuki na maisha ya watu nyie si miungu achaneni na Imani za watu Amini kwny madhehebu yenu huko ambako hamtoi sadaka Kila mtu atavuna alichopanda maisha ni mafupi na kaburi lamngoja Kila mmoja acheni kuhukumu watu maana hamjui undani wake Ila mpo kimihemko kisa madhehebu yenu hayaendani na taratibu za madhehebu ya wengne kama ni sadaka na michango mbona katoliki wanaongoza kama ni mapungufu basi hakuna dhehebu au dini iliyo salama hapa chini ya jua.

Msidhan kuwa mtumishi wa Mungu ni kuwa masikini mnataka awe anakuja madhabahuni Kwa miguu awe ananuka makwapa akinunua usafiri bs baiskel ndo hamtamkejeli eti anataka sadaka siyo.
 
Wajinga waliwao....

Acha mpigwe hizo sadaka tu.....

Mtakuja shtuka badaye....

Ova
 
Wajinga waliwao....

Acha mpigwe hizo sadaka tu.....

Mtakuja shtuka badaye....

Ova
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 na wanapigwa kweli kweli wakidhani kuna roho mtakatifu kumbe roho mtakakitu.
 
Imani ikizidi unapunguza uwezo wa mwanadamu kufikiri na kuhoji kiuhalisia. Acha wafe hao watu ni wajinga sana Imani zao ni za kipumbavu mpaka Mungu mwenyewe anashangaa shetani ndio kabisa anawacheka. Nina mfano mmoja Kuna Dada alikua mchungaji amefariki juzi kwa uzembe naye ni hivyohivyo alipata uvimbe kwenye kizazi Sasa wao wakawa wanasali wakiamini kalogwa tena na mme wake kwanza asilimia kubwa ni waongowaongo tu maana huyo dada mchungaji mwenyewe nilikula kimasihara akaja kuchanganyikiwa nikiwa nazama chumvini mpaka kuhonga sadaka
 
Kuna huyo mmoja mzee wa semina ni full mabahasha na kuuza vitabu.Ila wachungaji wa kweli wapo ila ndo hawavumi.
 
Aandae wachungaji wasaidizi kisha afungue makanisa nchi nzima.

Kakobe na Mwingira walifanikiwa kwa hili. Wana matawi nchi nzima hadi wilayani na vijijini kabisa.
Ni shughuli ya miaka mingi....

Kakobe na Mwingira wana miaka karibu 30 kwenye game... huyu ndio anaanza.
 
HUYU MSHENZI KABISA MPK SASA NAHANGAIKA KATAKA KUNIULIA MAMA YANGU KWA KUMUHADAA ANAWEZA ,KUPONA PREASURE NA KISUKARI BI MKUBWA KAMPA 500 K KAMUOMBEA ,KILICHOTEKA NDIO KAMA KAANZA UPYA KUUGUA ,MARA ROHO YA MAUTI IMSHIKE ...,INAMUACHIA MAUZA UZA TU ...NAAMINI KAMPANDIKIZIA MAPEPO YA ROHO ZA MAUTI ,ILA MM NASEMA MUNGU WA KWELI ATAMLIPA HUYU MSHENZI

sent from HUAWEI
 
Tapeli, eti Mtume, utume aliupata wapi? Jitu linaibuka from nowhere , leo wei ni Mtume
 

Mwache tu aende kama wale walienda moshi baada ya kukanyagana, huwezi danganya watu siku zote
 
I have never met a Moron like You at JF.
 
Tulipokuwa tukisema ni Tapeli mlikataa.
 
Stone chemist Korosho header 🀣🀣 yule vyema hakusikiliza ya daktari ungekuta matajiri bado wanaishi kama watumwa kwenye nchi yao.
 
Ni kweli naunga mkono hoja haiwezekani juma tatu mpaka jumapili unahudumia watu utakufa mapema sana hata nabii Musa alishauriwa na mkwewe kupumzika maana hata Musa alikuwa kama mwamposa
Kupumzika kunaleta afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…