MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #41
Leo najua Kanisani Kwake katika Ibada yake ya Jumanne ataniongelea mno Mightier na huu Uzi wangu.Ni kweli naunga mkono hoja haiwezekani juma tatu mpaka jumapili unahudumia watu utakufa mapema sana hata nabii Musa alishauriwa na mkwewe kupumzika maana hata Musa alikuwa kama mwamposa
Kupumzika kunaleta afya
Hawa watakuwa wafanya biashara na Wana mikopo kwenye mabenki ya kurejesha kila mwezi maana kuwa na kampuni ya kutengeneza maji na mafuta ya upako si mchezo lazima wawe na marejesho ya maana kila mwezi. Inabidi akomae abuni sadaka za aina mbalimbali kwa ajiri ya marejesho.Wajinga waliwao....
Acha mpigwe hizo sadaka tu.....
Mtakuja shtuka badaye....
Ova
Mwamposya ni mganga?Mganga hajigangi..chamsingi awemakini sana.
Kumbe huyu bwana aligomea ushauri wa madaktari na matokeo yake ndo MTANIKUMBUKA KWA MAZURIKuna Mtanzania Mwenzako Mmoja Mr. Stone Chemist Header nae alishauriwa sana na Madaktari wake Bingwa atunze Afya akabisha leo Kalala mazima.
Sijasema hivyo Ila mtu anaefanya kazi ndo anaejijua Kuwa kachoka hivyo aamue kuwa apumzike au laah sasa wewe utamlazimishajeKwahiyo Wewe una Akili na Utaalam kuliko hao Madaktari Bingwa waliomshauri hivyo?
Swine.Sijasema hivyo Ila mtu anaefanya kazi ndo anaejijua Kuwa kachoka hivyo aamue kuwa apumzike au laah sasa wewe utamlazimishaje
Acha chuki wwHUYU MSHENZI KABISA MPK SASA NAHANGAIKA KATAKA KUNIULIA MAMA YANGU KWA KUMUHADAA ANAWEZA ,KUPONA PREASURE NA KISUKARI BI MKUBWA KAMPA 500 K KAMUOMBEA ,KILICHOTEKA NDIO KAMA KAANZA UPYA KUUGUA ,MARA ROHO YA MAUTI IMSHIKE ...,INAMUACHIA MAUZA UZA TU ...NAAMINI KAMPANDIKIZIA MAPEPO YA ROHO ZA MAUTI ,ILA MM NASEMA MUNGU WA KWELI ATAMLIPA HUYU MSHENZI
sent from HUAWEI