Thanks alot kwa kunielewa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahahah safi sana.Georgina Georgina umeniachia masikitiko...
Naupenda sana huu wimbo.Timbulo ft Barack da Prince jina limenitoka ila hio ngoma dah , Wasasa nae na mdidectia Mbeleko ya Rayvany
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee!umenikumbusha hii ngoma inamaneno mazuri sana hasa kwa wanaotaka kuoa bonge la ujumbe.
Jina la wimbo tafadhali?wimbo huu huwa unanigusa sana, nikisikiliza nikiwa peke yangu machozi huwa yanadondoka aisee
It is not easy wa Phillip Lucky DubeJina la wimbo tafadhali?
Ngoja niutafute.