Mtumishi akijiendeleza anabadilishiwa mshahara?

Mtumishi akijiendeleza anabadilishiwa mshahara?

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Poleni na majukumu ya kazi

Samahani naomba kuuliza: Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mwenye ASTASHAHADA tu natamani kujiendeleza angalau kufikia SHAHADA

Sasa najiuliza je, baada ya kujiendeleza nitabadilishiwa kiwango Cha MSHAHARA? Au inakuaje? Naomba mwenye uelewa wa kina na haya Mambo anijuze

AHSANTENI
 
Hamna chochote but scale ya salary itarefushwa tu kam unae diploma bar ni F ila kama unae degree bar ni I
 
Back
Top Bottom