Basi nusu ya waajiriwa wangekuwa wanafukuzwa kazi...Kuna code of ethics na kuna code of conduct.
Alipaswa kuwa mwadilifu siku zote za utumishi wake. Tukisimamia miongozo na kanuni za utumishi wa umma, tunamla kichwa.
Nadhani miongozo hiyo ndio inatakiwa iwekwe humuwatu wapate kuitumiaBasi nusu ya waajiriwa wangekuwa wanafukuzwa kazi...
Tena ukifanya kosa la jinai mtaani lakini usiwekwe jela, basi wala taarifa zako hazitafika kazini, ila ukifungwa ndiyo kunakuwa na consequences kazini kwako.
Ukifanya kosa la jinai kazini ndiyo unachukuliwa hatua, ila huko mtaani we jitahidi usifungwe tuu.
Asante sana. Huu mwongozo unaitwaje?