Mtumishi upo masomoni, uliomba ruhusa na mwajiri hakupitisha.

Mshahara haufanyi mtu kuwa mtumishi halali, hapo linakuwa ni kosa la hao watu wa utumishi au fedha kutopeleka taarifa hazina ili mshahara huo usitishwe.. Na hiyo ndio inayoitwa mishahara kwa watumishi hewa, ni sawa na mtumishi anaelipwa nusu mshahara sababu ya kuwa na kesi ya kitumishi labda, mshahara wake huwa unakuja wote kutoka hazina lakini mwajiri anampa nusu wakati akisubiri maamuzi ya kesi yake, akishinda mtumishi basi atalipwa nusu zake zote na akishindwa zile nuzu zote zitatakiwa kurudishwa hazina..kwa hiyo ishu ya mshahara hapa ndo yale mambo ya utumishi hewa haimfanyi mlalamikaji kuwa mtumishi halali automatically..
 
Soma sheria ya ajira na mahusiano kazini,pia kama ulistahili kwenda shule na mkuu DED akafanya hila kukufukuzisha kazi basi huo ni ubaguzi eneo la kazi pia huwa kuna taratibu za kufukuzwa kazi hasa kupewa taarifa ya kusudio la kufukuzwa kazi na sababu ili ujitete hapo ungeweza kutoa hoja zako na zikapimwa,waone viongizi wa chama cha wafanyakazi kama umejiunga,wewe bado ni mtumishi ndiyo maana unapata salary slip ambayo ni ushahidi mmoja wapo,uko wapi tukusaidie?
 
kwakuwa salary slips bado zinakuja maana yake ni kwamba mshahara haujasimamishwa na kwamba wewe bado ni mtumishi halali. dai mishahara yako yote ! kama mkurugenzi ni mzembe shauri yake.
Kama saslary silp inatoka kila mwezi ni kwamba wewe bado mtumishi halali unayetambuliwa na hazina. Mshahara wako umewekwa pending na mkurugenzi wako. Fuatilia, ukimbana atakupa mishahara yako yote.
Huwa iko hivi, inapotokea mtumishi haonekani kazini mkurugenzi anatakiwa kuwasiliana na hazina mara moja ndani ya wiki 1-2 kuitaarifu hazina kusitisha mshahara akiambatanisha na sababu ya kufanya hivyo hazina na kwenye mamalaka zingine zilizopo juu yake.
 
Huu Uzi bado upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…