Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake?
Nenda halmashauri yako unayofanyia kazi kitengo cha mishahara watakupa copy yake au kama upo dar unaweza kwenda hazina Pale (wizara ya fedha) wanakuprintia nyingine original kama ya mwanzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.