Mtumishi wa umma aikipoteza salary slip afanyeje ili aipate tena?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake?
 
Nenda kwenye mamlaka husika inayozitoa! Ni suala la ku print tu!
 
nenda kwa DED kitengo cha mishahara wanaweza kukusaidia
 
Nenda ofisi za mishahara ukiwa na barua ya muajiri wako ya kuomba salary slip watakupa copy bila tatizo.
 
Nenda halmashauri yako unayofanyia kazi kitengo cha mishahara watakupa copy yake au kama upo dar unaweza kwenda hazina Pale (wizara ya fedha) wanakuprintia nyingine original kama ya mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…