Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake? Nomba wataalamu mtirirke.
Ulimwengu huu wa digitali bado watu wanapeana salary slip manually? Ilitakiwa serikali wawe na system ya ku-query salary slip online mambo ya paper work yatosha jamani C6 na chief-mkwawa ebu tumieni fursa hii kuwatengenezea serikali ka-system ka kucheck salary slip hapo ni ERP na Oracle tu.
Nenda ya fedha kitengo cha mishahara muombe mhasibu wa mishahara akutolee copy kwenye control sheet we mpe check number na sub vote unayolipiwa mshahara.
ya ni Rahisi sana ukifuata Ushauli wa Kababi. Lakini salary slip siku hizi si muhimu kama kumbukumbu ya kuduma klabuda kwa kujua unapata mshahara kiasi gani na makato ni kiasi gani. Zamani zilikuwa na umuhimu kwa ajili ya kumbukumbu ya pensheni ya mfanyakazi siku hizi ni kwa ajili ya kuchulia mkopo katika taasisi za fedha.
Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake? Nomba wataalamu mtirirke.