Mtumishi wa umma akiwa na kosa la kujibu mahakamani je sheria ipi inambana kazini

Mtumishi wa umma akiwa na kosa la kujibu mahakamani je sheria ipi inambana kazini

mumagoma

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
186
Reaction score
95
Ndugu zangu wana jf naomba kuuliza ni sheria ganii inayombana mtumishi wa umma kama ana tuhuma za kujibu mahakamani,na je vipi kuhusu mshahara wake anapaswa alipwe vipi,na kazini anapaswa ahudhurie ama vipi,halafu naomba kufahamu mwajiri anapaswa akutetee kwa namna yoyote
 
Kama ulifanya kosa ambalo ulilitenda ukiwa kazini (in the cause of employment), Ofisi itakua liable ukiwemo na wewe... mambo mengine yatatokana na mkataba wako wa ajira....
 
Back
Top Bottom