N Nutrition New Member Joined Jun 11, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jan 3, 2025 #1 Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake.
Dr PL JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 327 Reaction score 537 Jan 3, 2025 #2 Nutrition said: Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake. Click to expand... Ngoja wataalamu wa sheria za utumishi wa umma waje watoe mwongozo..
Nutrition said: Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake. Click to expand... Ngoja wataalamu wa sheria za utumishi wa umma waje watoe mwongozo..
Twinawe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 2,431 Reaction score 5,336 Jan 3, 2025 #3 Nutrition said: Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake. Click to expand... Inaruhusiwa ila isiwe na maslahi yoyote mahali pako pa kazi
Nutrition said: Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake. Click to expand... Inaruhusiwa ila isiwe na maslahi yoyote mahali pako pa kazi