Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Let's say unafanya kazi kwenye taasisi/shirika la Umma na unaweza kumaliza miezi sita(6) hata mwaka hujapata seminar wa safari yoyote za kikazi.
Na hata seminars na safari za maokoto zikitoka hauwepo kwenye list , hivi si mnaishiaga kununa tu na kuwachukia Bosses kila kukicha😃😁
Hongera kwa zile ofisi zenye rotations za Seminar na Safari kwa watumishi wa ofisi moja maana inasaidia kuondoa haya Makasiriko, Majungu na Chuki Makazini😂