Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
NdiyoKuna mtu bado anachuku mikopo?
mikopo tena ya Samuya!Kuna mtu bado anachuku mikopo?
😂Uko pamoja na Samia ila bado mishahara haitoshelezi mnakopa 😹
IKama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB unaweza kumaliza miezi 2 usipate pesa. Na mfumo ukishaingiza makato huwezi kuomba tena benki nyingine.
CRDB ikimbiwe.
********Imagine within 4 yrs of her regime watumishi tumepanda vyeo mara mbili
Yes. InawezekanaEti mkuu, naweza kulipia Azania Bank ilhali Niko NMB na salary inapitia NMB..?
I