kaogopa majukumu huyo.hana lolote. bahat yake cindy hakumegwa ashukuru kwa hilo pia!
mimi nahisi huyu jamaa anataka mke wa kuoa na si kupotezeana muda. hivyo alivyosikia huyu tayari ni divorcee na ana watoto tayari, hakutaka kupoteza muda wake kwa jambo ambalo halitakua. sidhani kama kuna mwanamme anayetaka kuoa mwanamke aliyewahi kuolewa au kua na watoto.

Umeamkaje Lizzy?
Kama ndio mambo yenyewe haya MIMI BADO NIPO NIPO sanaaaa aiseee loooh
Ila mbona kwa wanaume inakua rahisi sana kuoa na kuacha,kuoa na kuacha kama mzee wetu Bishanga.....ina maana hili tatizo ni wanawake tu ndio wanakua na kasoro au?
Salama. . .wewe je?
Eti Bishanga nikiachana na nanii si utanioa japo nna watoto watatu?!
Yule ni NATAKA tu. . .hajawahi kuni'staki nataka' hata siku moja. Alafu we Bishanga wewe. . . jana tulikua beach kigamboni mpaka saa tano tunakumbatiana kwenye giza we unasema nini?Jokes aside binafsi sioni tatizo kuoa mtalaka with kids mradi tu limwanaume lake la zamani lisinigasi,maana mianaume mingine (kama la kwako) ni sitaki nataka.
Btw jana karudi sa ngapi maana hadi saa kumi alfajiri alionekana kwenye ambiansee.(hivi kwa nini humpigi chini?)
Kwani bishanga sijakuingia akilini?mbona tumetoka mara moja tu?Dark City, cindy ni wa kupongezwa kwa kuwa wazi mapema., hapo nakubaliana na wewe.
Ila nachoshangaa ni kwenda dinner mara moja na mtu halafu unamwingiza akilini kiasi cha kushangaa akiingia mitini.
Labda kwa vijana, lakini mtu mzima kumwingiza mtu akilini mara moja mbona ngumu? Au mie ndio sielewi?
Mke mwema sana wewe,umefundwa ukafundika maana kwa kuficha matatizo ya familia hujambo.Yule ni NATAKA tu. . .hajawahi kuni'staki nataka' hata siku moja. Alafu we Bishanga wewe. . . jana tulikua beach kigamboni mpaka saa tano tunakumbatiana kwenye giza we unasema nini?
Yeahh. . .binafsi bado sijakutana na hao wenye kuona watoto/talaka ni tatizo. Mpaka hapo nisema na wewe ni wa ukweli.
Mke mwema sana wewe,umefundwa ukafundika maana kwa kuficha matatizo ya familia hujambo.
Hapo kwenye desh desh si useme tu kuwa ni bishanga?
Ila kusema kweli BabuDC ana mibusara ya hatari though aliyosema kwa mwanamke mtalaka mwenye watoto yanauma.
By the way Yummy umeolewa?
Dark City duuuh nimeshtuka kidogo,mm nna watoto na sitafuti wanaume ila wao wananitafuta sasa inakuaje hapo???na wengi wao hawana watoto. Kwahiyo Babu ushauri wako nisikubali mwanaume yeyote ambae hana mtoto hata kama ameonyesha ana mapenzi na wanangu na mambo mengine mengi tuuuu...kweli nimkatae,kisa hana mtoto????!!!!
Kama ndio mambo yenyewe haya MIMI BADO NIPO NIPO sanaaaa aiseee loooh
Ila mbona kwa wanaume inakua rahisi sana kuoa na kuacha,kuoa na kuacha kama mzee wetu Bishanga.....ina maana hili tatizo ni wanawake tu ndio wanakua na kasoro au?
huyo baba kasahau methali yetu ya ukipenda boga penda na ua lake alikuwa anabeep