Mtungi wa gongo umeanguka

Mtungi wa gongo umeanguka

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
1092352


Huu mtungi wa gongo uliotengenezwa mwaka wa 1892 tayari umeshaanguka baada ya kuwasili Dara Salama siku mbili zilizopita.
 
Hapo watanzania huwaoni ngoo, wamelala, hii imewatapisha na hamu ya kula haipo
 
Best in Africa!!![emoji848]....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji108][emoji108][emoji108][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Mkenya nae ameraruka nayo hewani, pole mkuu, imeanguka ikiwa inashushwa eneo la tukio, si unaona hata tyre hakuna?!!!
 
Alafu hiyo ni ya kampuni inayojenga reli wala sio ya wata"..ukizoom hayo maandishi ya blue hapo mbele imeandikwa "yapi markezi"kampuni inayojenga sgr.wakenya wivu utawaua..
 
Hehehe kiamshwe basi maana kumekucha, ila huyo bwege na selfie yake jameni namhurumia sana.
bado time aisee, si unajua mambo ya waswahili jamaa wa chipsi mayai, subiri hadi saa sita mchana!



btw kumbe soga ndio bedroom ya burret treini au hiyo hapo pembeni sio 'soga burret treini station'?
 
View attachment 1092352

Huu mtungi wa gongo uliotengenezwa mwaka wa 1892 tayari umeshaanguka baada ya kuwasili Dara Salama siku mbili zilizopita.
Mkandarasi alipigiwa simu na JPM akambiwa hicho kichwa hakifai kabisa..Hata yeye akikiangalia zivuri akaona ni kweli..Hatimae akikitupa hapo pembezoni mwa reli kama scrap metal, kichwa kingine kipya kipo kwa order
 
View attachment 1092352

Huu mtungi wa gongo uliotengenezwa mwaka wa 1892 tayari umeshaanguka baada ya kuwasili Dara Salama siku mbili zilizopita.
Mbona mnakuwa wavivu,kufikiri?
Hicho Kichwa ni Mali ya mkandarasi Yapi Merkezi
na hapo kipo,kwa Ajili ya Ku,test

wakati mna test SGR yenu nlitumia Kichwa au Kipande gani???
 
Back
Top Bottom