Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Na wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
Hahaha π wewe ni muhayaOjojojo
Tusi jipya ni hilo nipe 10k yangu
Umenifurahisha hapo c tusi ILO mazeeeKudadako!!!
Siyo kwamba wako unaware of who caused all the mess bali wanakimbilia kuwatupia lawama zote wanawake hata kwa matatizo ya kujitakia wao wenyewe, imagine mwanaume mzima anahonga mwenyewe pesa na mali zake kwa sababu ya kuendekeza ngono na starehe halafu anamlaumu mwanamke kana kwamba alishikiwa bunduki, wana msemo wao eti mwanaume hatakiwi kulaumiwa anayetakiwa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye anayepata madhara sasa najiuliza hawa wanaume tunaowaona wanalalamika na kulialia kila siku kuhusu wanawake sijui ni wa sayari ganiMtu mwenyewe ushamuita malaya unategemea akupe nini kingine! !
Appreciate your women Bwana. If she's not your wife she's your sister. Don't defile our girls / women!
Men have a way of destroying the earth and society and acting completely unaware of who caused all the mess.
Ahsante mkuu kwa kunifikishia ujumbe kwa mume wangu " Yupo humu JF"Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.
Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.
Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.
Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!
Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
πππ¨π¨Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.
Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.
Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.
Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!
Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
Na wewe mzee mwenzangu ikifika zamu yako kumang'uliwa kalio ngumi usizirushe kikubwa utaachwa na pumzi lakini rinda hata moja huna.Na wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..
Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
Dah mzee πMNMA
Ukiona mwanaume anamponda mkeo mbele yako wewe malaya wake jua anataka akutawanye mapaja akuache akahadithie wenzake kijiweni,amma kuhusu wanawake kuwa mchepuko inategemea wewe mwenyewe umejiweka kwenye angle gani!, na wakati huo huo mke anadharauliwa na anasemwa vibaya kila siku hadi unajiuliza alimuoa wa nini, halafu anatokea guluguja mmoja anakuambia heshima ya mwanamke ni kuolewa sasa unabaki kujiuliza ni ndoa hizi hizi au kuna nyingine..no wonder siku hizi wanawake wengi wako radhi wawe michepuko kuliko wake za watu maana wameshaona ukiwa mchepuko unafaidi kuliko ukiwa mke unaishia kubebeshwa mizigo tu!!
FactUkiona mwanaume anamponda mkeo mbele yako wewe malaya wake jua anataka akutawanye mapaja akuache akaahadithie wenzake kijiweni,amma kuhusu wanawake kuwa mchepuko inategemea wewe mwenyewe umejiweka kwenye angle gani!
Ukijitegesha style za kichepuko unakuwa mchepuko ukijitega style ya kuwa mke unakuwa mke so ni jinsi gani unavyojipa thamani utakuwa treated hivyo hivyo.