Mtunze mkeo Malaya hana shukrani

Hebu msitufanye sisi watoto bana, hao wanaume wanaowaponda wake zao wengine ni kaka zetu na wengine ni marafiki zetu huwa wanatuambia na tunaona matendo yao, siku hizi michepuko ndio inafaidi kuliko wake wa ndoa ndio maana wanawake wengi wanaona bora kuwa michepuko kuliko kuenda kubebeshwa mizigo huko ndoani
 
Shukrani sana kwa kutukumbusha,
Nitakuja na scenarios zinazo support hii uzi yako!!
 
Kama kaka zako wanathubutu kukaa na wewe kukwambia madhaifu ya wake zao basi ninyi nyote mnafanana akili.

Wewe umejiweka level ya mchepuko unafurahia kuelezwa madhaifu ya WiFi zako kutoka kwa kaka zako wajinga unadhani maisha ndivyo yalipaswa kuwa,mwanaume timamu hawezi kuinua kinywa chake kueleza udhaifu wa mke aliyemzalia watoto.
 
Hivi unajua hata kusoma kwa ufahamu au unakurupuka tu kama nyumbu mradi na wewe uonekane umejibu, kwanza kitendo tu cha mwanaume kuchepuka tayari ni mpumbavu hana akili achilia mbali anasema nini kuhusu mke wake au mchepuko wake, wengine hatu entertain kutembea na waume za watu hakuna takataka inayoweza nishawishi niwe mchepuko wake hata ingekuwa na hela kiasi gani sina njaa wala hamu za kipumbavu kiasi hiko
 
Na Wake wanaokimbia Waume zao, vipi?
 
Jadda mama punguza ukali wa maneno, hujafa hujaumbika kumbuka.

Waswahili wanasema, usitukane mamba kabla hujavuka Mto kalaghabao.
 
Kuna post moja niliona wanasema wanawake wote ni malaya, walioolewa wanafanya umalaya na mtu mmoja au wachache, ila wote wanategemea kulipwa, kutunzwa au kuwategemea wanaume kwa kutumia papuchi zao
 
Mjinga wewe umenichekesha. Nikukamate sasa, nakumwagia weseeeeee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu utafika ila kunikuta hapana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…