Mtunze mkeo Malaya hana shukrani

Umesema kweli. kwa nini utukanwe?
 
After all ndio mama wa watoto wako, ndio anakusaidia kulea watoto.
 
Nimejiuliza mayala kawaje tena
Kumbe ni malaya...!! Kazi kweli
 
Ila michepuko ni kama imefungwa injini yani hata uisugue kila siku haichoki inamwaga mautam kama Ina laana ila mimi nishaachana nayo
 
Kwenye suala zima la kuyumba katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke matatizo yote yalianzia Beijing. Taja mwanaume hata mmoja aliehudhuria ule mkutano
 
Ila michepuko ni kama imefungwa injini yani hata uisugue kila siku haichoki inamwaga mautam kama Ina laana ila mimi nishaachana nayo
Ni kwa sababu michepuko hawana stress mkuu hawabebeshwi majukumu kama wanayo bebeshwa wake wa ndoa, halafu michepuko mingi ipo kwa ajili ya maslahi tu na si mapenzi kwahiyo huwa wanafanya hayo ili muwahonge vizuri, hongera kama kweli umeachana nayo jamii inahitaji wanaume wengine kama wewe
 
Kwenye suala zima la kuyumba katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke matatizo yote yalianzia Beijing. Taja mwanaume hata mmoja aliehudhuria ule mkutano
Tatizo lenu huwa mnahangaika kudili na matokeo badala ya kudili na mzizi wa tatizo kwanza, nafikiri ulitakiwa kujiuliza nini kilipekea hadi huo mkutano wa beijing ufanyike yani siku mkiwa tayari kuukubali ukweli na uhalisia, basi mtakuwa mmepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye mabadiliko vinginevyo niwape pole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…