Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi ya kumpa Vyombo vya Mziki na vyombo hakuvipata. Anasema wajanja wakavikwapua mpaka leo hajui vipo wapi.
 
Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.
Naye baba Nyerere.....bulshit
Binafsi sijawahi kumkubali huyo Nyerere.
Huyo mzee apumzike aachane na mambo ya serikali
 
Si kaimba mwenyewe nchi ya furaha? Sa mbona hana furaha? Kama vipi kweli atoe tu remix featuring Roma mkatoliki.. mzee ajiongeze .. wakimwaga ugali nae amwage mboga
 
Si kaimba mwenyewe nchi ya furaha? Sa mbona hana furaha? Kama vipi kweli atoe tu remix featuring Roma mkatoliki.. mzee ajiongeze .. wakimwaga ugali nae amwage mboga

Back
Top Bottom