luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau Hawa waturuki waliopo mbezi Goba Wana sikika Sanaa Je huduma zao NI kweli nzuri
Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao
Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief Habari, tupeni wazawa hizo kazi, waturuki wametutesa sana, ila wengi wao wanafungasha virago, Emirates na Dubai nao wanaingia kwenye biashara Upvc, karibu Mbezi aluminium and Glass. 0743664260/0684617585
Bei zako zimechangamka sana na je Waturuki wanachaji kiasi gani ili watu waweze kuwakimbia na kuja kwako coz mteja yeyote haangalii sura linapoluka suala la bei kubwasingle
5*6=643000
6*6=770000
Double
5*6=839000
6*6=1000000
Hiyo hapo Boss
Kwa upande wa aluminium
Single
5*6=400000
6*6=470000
Bei zimechangamka Sana za madirisha kotekote nafikiri hawatofautianiBei zako zimechangamka sana na je Waturuki wanachaji kiasi gani ili watu waweze kuwakimbia na kuja kwako coz mteja yeyote haangalii sura linapoluka suala la bei kubwa
single
5*6=643000
6*6=770000
Double
5*6=839000
6*6=1000000
Hiyo hapo Boss
Kwa upande wa aluminium
Single
5*6=400000
6*6=470000