zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Kauli ya Tundu Lissu imenigusa kweli kweli naumia kweli na nawaonea wivu wale ambao wanajua kiingereza wanakicharaza Kama charahani inavyoshona.
Huku sisi wengine wa kayumba tunapata tabu kukijua. Mtusaidie basi na sisi tujue tuwe tunaelewa hata movie tu zinamaana gani.
Sasa nyie mnakitunza kisa mnakijua
Mtusaidie na wenzenu.
Huku sisi wengine wa kayumba tunapata tabu kukijua. Mtusaidie basi na sisi tujue tuwe tunaelewa hata movie tu zinamaana gani.
Sasa nyie mnakitunza kisa mnakijua
Mtusaidie na wenzenu.