Mtuwakilishe kizalendo, pitieni Mikataba

Mtuwakilishe kizalendo, pitieni Mikataba

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Chama kimoja,
Mhimili mmoja,

Mmekuwa waongo waongo kwa kujificha kwa Kikwete kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo.

JK mvumilivu sana,ndio maana aliwahi tamka kuwa hatuachiani glass ya maji.Nimeamini maneno yake.

Wabunge kwa umoja wenu muilazimishe serikali ilete mkataba wa ujenzi wa bagamoyo wa enzi ya awamu ya 4 na marekebisho ya awamu ya 6.

Awamu ya 5 haikuwa na mkataba zaidi ya kukandia.

Taifa kwanza,maslahi yenu baadae.
 
Ndugai ni kuwadi wa mradi hawezi ruhusu hilo litokee 10% ni muhimu kuliko Tanzania
 
Wabunge wa chama kile hawawezi kujadili mkataba sophisticated namna ile,watachangia uharo tu..ni bora waendelee kupambana ni mikataba ya wenye nyumba ,wapangaji na madalali
 
Back
Top Bottom