Mtuweke kwenye maombi, mambo si mambo huku!

Mtuweke kwenye maombi, mambo si mambo huku!

Outlier

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2008
Posts
323
Reaction score
18
ATTENTION
Classes Cancelled Friday, May 1 - Call 432-News (6397) for Updates

Suala la swine flu limebisha hodi mtaani kwetu.

Leo tumepata tangazo kuwa kuna case imegundulika hapa shuleni kwetu na as a result shule imefungwa till further notice.

Najua inabidi tujihadhari binafsi lakini sala pia zasaidia kwa hiyo tuombeane tafadhali.

Hapa na-sweat!
 
Mtaani wapi....TZ or somewhere else? whatever the case, take care mkuu, hayo mafua ni noma!
 
Poleni sana, tutawakumbuka kwenye sala zetu.
 
Mzee usipanic..unaweza hata ukapata hayo mafua na uka-recover..ni matter of kuyawahi.
 
Pole Outlier, Bwana atakuepusha na hayo mafua.
 
Pole Mkuu, Zingatia ushauri wa wataalam, Epuka misongamano, na vyote viwezavyo kukunatisha Mungu atakusaidia.
 
Mkuu Outlier,
hapa jirani zangu wameamua kuteketeza kitimoto wote, mawe mtindo mmoja mitaani.
 
Mkuu Outlier,
hapa jirani zangu wameamua kuteketeza kitimoto wote, mawe mtindo mmoja mitaani.

Duh!
Hapa shwari kidogo, mcheche umepungua ...
Vijiwe vingi vitakufa sasa!
 
Back
Top Bottom