Tupe update MkuuHuyu bwana mdogo atavunjwa taya na iron tyson
Mtumee kuna muujiza huku!!! In mwamposa voice...Tupe update Mkuu
Ipovery rareHivi kwenye masumbwi hakuna sare!?
Natabiri sare.Ipovery rare
Inakuwaje TYSON HARUSHI NGUMI ANADEFENCE ZAIDI , HII NI SANABU YA JAKE KISHINDA, NIMELIWA ILA SIO HILI HALIJIWA PAMBANO, SHIT!Update on
Nafiriki kusema DOGO Kaachiwa haiwezekani Pambano Gani TYSON KATULIA VILESio mbaya ilikua ni for leisure
$20 with in 16 minutes hayo ndo maisha
Usijali itakua ilipangwa lakini hata ivo mike bado yumo minilitegemea KO round kabla ya tano ila ndoivo wametengeneza pesaNafiriki kusema DOGO Kaachiwa haiwezekani Pambano Gani TYSON KATULIA VILE
Acha tupambanie kwingineUsijali itakua ilipangwa lakini hata ivo mike bado yumo minilitegemea KO round kabla ya tano ila ndoivo wametengeneza pesa
LiveAcha tupambanie kwingine