Hi!
Kwa wale ambao tayari uchaguzi umeshapita na ni mashabiki wa Diamond, MTV Base Africa wametoa nafasi ya kumuuliza Diamond swali lolote kupitia Twitter. Kazi hii itaanza saa 10 (dakika chache zijazo) hadi saa 11 using #BaseChat
​