Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
watu kama alikiba, darassa na wengineo nafikiri wanakosa management, mziki hauvuki ng'ambo kivileeeeVipi kuhusu Darassa, au muziki iliishia kwa waendesha bodaboda?
Hatuko interested na wauza unga na wabwia unga!MTVBASEAFRICA:Watoa list ya wasanii wakuangaliwa sana mwaka huu 2017,Huku Tanzania ikiingiza wasanii watano na wakiweno wa Wcb_wasafi wawili,
Rayvany na Harmonize_tz.
Watanzania kama ifuatavyo:
1.Ben Pol
2.Billnass
3.Rayvany
4.Harmonize_tz
5/Ruby
Usimuweke Ali Kiba ligi moja na Darassa.watu kama alikiba, darassa na wengineo nafikiri wanakosa management, mziki hauvuki ng'ambo kivileeee
Hao wana vigezo vyao.Kwahiyo huko Ben Pol wanamchukulia kama underground? Kama ndo hivyo mbona Alikiba hawajamuweka?