MTV MAMA: Namtupia lawama Madame Wema

Uko sahihi kabisa. Kulingana na huko nyuma
 
Mbona Mara ya Kwanza Dai kuwa nominated MTV alikuwa na Wema na hakuambulia kitu?
 
Mbona Mara ya Kwanza Dai kuwa nominated MTV alikuwa na Wema na hakuambulia kitu?
Wema ndo alichangia kwa kiasi kikubwa Dai kuwa nominated wakati huo. Angeendelea nae ungekuta kwa sasa Diamond yuko Grammy.
 
Huyo wema wko ananyota ya kupendwa na wacheza vigodoro angekua na ushawishi wimbo wa wanjera ungepata tuzo MTV vigodoro
 
Kwa akili hizi tanzania ya viwanda ni ndoto.Maana hii nchi ina machi.zi lukuki.
 
Nawashangaa watu wengi mnaongelea tafiti inayosema kichaa mmoja kati ya watu wa nne badala ya kujadili post ya muhimu iliyopo.
 
Ila hii nchi imetoka mbali sana! Kwahyo Wena ndo alikuwa anaamua nani achukue tuzo😂
 
Lemutuz mtu mwenye fact. Hii ilikuwa moja ya kituko kwenye awamu ya tano. Nae ni kiwanda
 
Leo kaambiwa hana gari analia[emoji23][emoji119]
Moja ya wonders za dunia hii tuliyomo, kilio kimekuwa kikubwa na 'mashabiki' zake wamelalamika mno mpaka wengine wakafikia kudai huyo muhusika aliyesema kwamba Wema hana gari ashitakiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…