Mi mwenye skuelewaga walianzahe kumpanilishangaa sana alivyopewa siku Ile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuwa makini bhana, utanigombanisha na me and I
Tumetoka naye mbali
Ila kwa ile kategori ya besti kolabo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna diamond huwa anahonga huko ili King Kiba asiwekwe, kiba ameshalijua hilo haumizi bichwa hahahKibakuli hapawezi huku sio saizi yake
Duuu amepata na hela ya kuhonga... Haya mambo yapo bongo tu kunako tuzo za killHamna diamond huwa anahonga huko ili King Kiba asiwekwe, kiba ameshalijua hilo haumizi bichwa hahah
hivi huwa unafikiria kabla ya kupost?Hamna diamond huwa anahonga huko ili King Kiba asiwekwe, kiba ameshalijua hilo haumizi bichwa hahah
Ana uwezo mdogo wa kufikiri huyoDuuu amepata na hela ya kuhonga... Haya mambo yapo bongo tu kunako tuzo za kill
Safi awepoView attachment 404620 kibakuli naye kabahatika kuwepo
Mnajua kujipa moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dai hiyo tuzo aliyopangwa lazima aichukue ,star boy hanaga bahati na tuzo, huyo patoranking na AKA si rahisi kufurukuta kwa dai
Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambowe unahisi nani atakayefurukuta kwa dai hapo?
Mchawi mkubwa wa dai alikuwa davido , sasa davido hayupo we unategemea nini?
Nomination za MTVHa ha aah Kibakuli hayupo ,yeye zake tuzo za kili tu bhaaas ndio saizi yake
Yupo category gani?View attachment 404620 kibakuli naye kabahatika kuwepo
Mkuu kifupi kiba hayupo kwenye nominees hiyo tuzo ya best collab ata wakishinda inakwenda kwa sautisol maana wanatambua wimbo ni wasauti sol ft alikibaMkuu walimu walio kufundisha inaelekea walipata shida sana yaani jamaa kakuwekea picha hapo ya category aliyopo bado tena unauliza,kwani hiyo picha hujaiona?
Poa nimekupata mkuu!Mkuu kifupi kiba hayupo kwenye nominees hiyo tuzo ya best collab ata wakishinda inakwenda kwa sautisol maana wanatambua wimbo ni wasauti sol ft alikiba
View attachment 404667