Mtv Mama's 2016 Nominees live updates

Alikiba sio mtu wa mchezo mchezo, 1 category down, tunasubiri nominations zetu 2 zilizobaki.
 
Alikiba sio mtu wa mchezo mchezo, 1 category down, tunasubiri nominations zetu 2 zilizobaki.
Alikiba hana nominee iyo ya collabo mtv wanatambua wimbo ni wa saut sol na tuzo inatoka moja tu pale
 
video of the year king Kiba lazima apate nomination, hawawezi kumpa upcoming bana MTV wanamjua king Kiba ni wa kitambo aliimbaga na R.Kelly miaka ile.
 
video of the year king Kiba lazima apate nomination, hawawezi kumpa upcoming bana MTV wanamjua king Kiba ni wa kitambo aliimbaga na R.Kelly miaka ile.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] r. Kelly si hata amani wa kenya aliimba nae
 
Dai anafaa category ya Best collabo hana ngoma kali ya peke yake
 
Mdau Ali awe msanii chipukizi mbona unamkosea 15years kwenye game mdau be serious bhana
 
Kwa nini ujisumbue na huyo Kicheche asiyechagua maneno?? Mwenzio yupo kazini humu anatafuta Mabwana!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umekuja na avatar nyingine hahaa ila relax that was a joke don't take it seriously.. Timu pinzani ni Kama watani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umekuja na avatar nyingine hahaa ila relax that was a joke don't take it seriously.. Timu pinzani ni Kama watani
Kumchukulia jamaa MCHELE kwako ni JOKE..!?
 
Mdau Ali awe msanii chipukizi mbona unamkosea 15years kwenye game mdau be serious bhana

Ali katulia anawachora tu, subir nominations za awam ya 2 zitoke, wote wataimbia humu, uchezena Ali huwa anwatoa povu hawana hamu naye
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umekuja na avatar nyingine hahaa ila relax that was a joke don't take it seriously.. Timu pinzani ni Kama watani
JF ni sehemu ambapo ambapo kila mtu hutoa hisia zake, sio kuongea unayopenda kusikia, kutumia lugha za matusi kila mtu anaweza but wengi ni Waastaarabu! Kulikua hakuna haja ya wewe kutukana! Kisa humpendi Diamond! Ndo zangu kununua ugomvi kwa watu wasio Wastaarabu kama wewe!!! Wewe ni mtoto wa kike afu then unataka kumfanya Mwana aonekane Shoga!!!??? Kisa Ally Kiba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…