MTV Music Awards June 6th, 2014

Mbona hii ipo tofauti na nilivo vote mie?
hii inahitaji email, which is which BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
...ES labda umevote BET Awards hii ni MTV Awards hebu angalia vizuri mie nimevote na wala hawakuhitaji email address yangu. Nimeona pia unaweza kutakiwa kupiga kura yako kupitia Face book au Twitter, kama ukishindwa basi kama una FB account ingia huko ukapige kura yako.

Mbona hii ipo tofauti na nilivo vote mie?
hii inahitaji email, which is which BAK
 
Wala sikupotea njia nimeweka hapa kwa kujua jukwaa hili lina traffic kubwa baada ya lile la siasa, na hapa MMU watu pia huweka nyimbo mbali mbali katika baadhi ya threads.

hapa MMU umepotea njia
 







Hizi ni updates za matkio mbali mbali kuhusu Diamond masaa ya mwishon mwisho kabla ya Tuzo hapo kesho..Diamond pia kaongezwa kwenye orodha ya watakao tumbiza, baada ya Trey Songz


Hali ilivyo leo kwa Diamond
 

Attachments

  • INTERVIEW.jpg
    40.2 KB · Views: 6,314
  • na davido.jpg
    46 KB · Views: 6,053
  • NA MAFIKIZOLO.jpg
    42 KB · Views: 6,043
Kila la kheri diamond hope utafanya viziri tu
 
Tuelezee bas yupo wapiii???!na anafanya ninii
 
Hata huyu mletaji habari nae hajielewi vile.
 
Hapo kwenye interview na huyo mtasha alikuwa anaongea english au anamix kuweka msisitizo?Big up mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…